Sasa vile Bantuts ameturoga kishenzi KBdab nzima na ma sheng zake zenye hakuna mwenye alikuwa anazikwachu ka 2 months ago, na vile sasa ameanza uchochezi na Mzee Methu ati si wote tochomoe ma risto za kikwetu, wacheni basi niikwachu io challenge niwaroge na ka-stori hivi. Na nyi mafala mmekua mkinichekelea sheng yangu bandia mkidhani nitashindwa, SHINDWE!! Sita-mention majina, lakini kina Sue na Unyc na Jada mnajijua! Kwanza hii blog yangu mpya ni noma mpaka nime-nego na EGM alias Pythagoras Hypotenuse tuka-install ma widgets za kudetect vicheko za kijinga. Ukiona screen yako imeenda blank, jua tu ni ma widgets hizo noma zina-do job.
Kitu yenye ii unibamba sana ni vile wadhii hujidai wanoma ati shujaa wa ku-do vitu wakati wamewaka kiasi bila kujua wana-blunder ile mbaiya. Sasa, stori iko ivi.
Si Sato nilichomoka kwa baahrin githaa ka saa tuta hivi. Nikapiga Futsubishi (yaani Route 11) mimi huyoooooo…….mpaka lo? Mpaka local. Nikakutana na wasela na malefa wa mtaa wakibangaiza wakijitibu mdogo mdo? Mdogo mdogo. Saa juu nilikuwa nimechelewa, ilibidi nitoboke frotho mbili mbili za kugotea maMboyzz ili waache kunifyatukia. Alafu nikaamua kupiga lap of honour ya kuwagotea ma regulars, kurudi nikampata fala fulani ameji-ensconce kwa kiti ya mine. Hajui mi ni veteran huku, anigotee heshima zangu. Juu ya heshima zake ndogo, ilibidi nim-show a ba-ba-ba-banjuke tu! (Si usaree!) Toka hapo! Bradi fogothari!
Hapo ndipo sasa ma-stori zikaanza kukwachu na mawuoiyes kutiririka. Ma-gethaa zikapita mpaka masaa basa ivi, huku ma frotho zilikua zinakwachu wasee proper. Saa kuna boy wangu alikuwa gauge na mshii wake alikuanga ni KITU!!! Aki mi siku-mind kuvuka na hizo burungo. Tukaanza kuulizana boy wetu vile alikuwa ahead, ataezanaje na hiyo ithaa in his state of non-compos-mentis. Wacha niwa-show, huyo mshii alikuanga ni machine!! M-brown na mwili ndogo portable videadly ka laptop ya Sony Vaio, ata mnoma kuliko hako ka Apple Mac Mini ya Mzee Methu.

Hii laptop haichapangi sijui Linux na Ubuntu na ma Mac OS, ii hu-run na software ingine huitwanga Bonyezaflex Operating System V7.1. Tunaeza chapana vertical rhumba, sideways rhumba, horizontal rhumba, ata ma-somersault zingine kali sana.
Enyewe every dog has its day, so to my utter dismay, boy akambeba mshii take away nikajua leo nitalala na ma blue ball syndrome.
Juu ya hiyo story tukaamua ku-gush hadi K1 tukaipige ji? Tukaipige jicho. Ndio mjue mawuoiiiiiyes ni balaa, ebu imagine tulijudai si ni wanoma pool tukam-challenge mse mmoja mwenye ni 3 time Pilsner Imara Challenge champion. Let me tell you, that guy entered for us for free and removed us paint thoroughly tukabaki colourless ka trophy cabinet ya Arsenal! Hapo ndipo tulikuwa katika pilka pilka za kutafuta mamroro lakini place ilikuwa imekauka mbaiiiya! Tukaamua kujipanga mpaka Qs.
Kupita hio njia karibu na Parklands Police Station si boy alimcheki karao mmoja beste yake mwenye hua wana frotho na yeye? Fala akaamua aweke pick up kando ati akamgotee karao. Shock on your diabz! Makarao wakampimia ma G-3 wakidhani ati ni jambazi fala ati anamhanda karao ka AK-47 yake. Karibu afyatuliwe ile mbaiya, ni vile tu beste yake aka-intervene akawa-show hao ma karao wengine huu mse ni beste yake. Lakini hiyo ni ufala. Karao haezi kua beste yako wakati ako in uniform akibeba G3. Kwani unadhani amekula stone face kwa vile amenyimwa ma hugs zako?
Mazee hapo nje ya Qs kwa parking tulipata dinki mwengine……auuuuuuuiiiiiiiii! Ebu tegeni skio msikilize formula. Miguu amestunya ka mluhya, mapaja healthy ka za mkamba, haga bwaku ka za mganda, dashboard fyam ka ya msapere, sura noma ka ya mtaita na nywele laini ka ya msomali. Nikacheki angalau nimuangushie mistari kadhaa nikamuuliza “niaje niaje? Enyewe, live, maze dame uko poa na umebeba vifiti mpaka kwa jeans nimekuchorea standing ovation, najiskia karibu nifyatukeeee…..KAMA BUNDUKEEEEE!!” Alafu nikamuuliza ka ameskia hio prophesy ya earthquake itakuwa Westi soon. Akaniangushia twang ka ya Carol Radull wa Kiss 100 ati “so WTF has that gats to do with me, ya punk?” huku ananitingishia kichwa kihindi pamoja na mikono, njaro zile za “nigga puh-leaze!” Nikam-suggestia tupeane kamooooooja tu! Ndio at least earthquake iki-come tutakuwa tushajiseti vifiti tusishikwe offside. Kumbe already alikuwa ashanipima, ashanikagua, ashanitoa rangi vile aliniona nikidondoka kutoka pick up ya boy (si mnajua Helen bado yu jikoni?) akani-dismiss bila stress juu policy yake ni no romance without finance!
Kufika lembe tukamgotea Aizoh, ule head bouncer wa Qs. Enyewe huyo mse ni old boy wa Qs, yaani ni veteran mpaka anaeza andika best-seller aiite “My Life At The Door!” Yaani hananga ma career ambitions?
Kuingia Qs ndani ilikuwa kedo 4am. Huko nako hakukua na show pia. Tukaji-enskwons kwa counter na kum-show nyaguthii atuthe? Atutherereshe proper. Enyewe wadhii, tulitoka hapo tulikua tumeiva ka liver ya Uhush Onyatto.
Saa vile ilikua tayari ngware, next destination ilikuanga ni Club Raymond direct (yaani bedtime) tukajiseti kwa pick up ndipo hapo dere alijidai ati pick up inaeza kuwa ndae ya safo dezine tena ka Impreza WRX STI ya Colin Mcrae. Believe me, kutoka Westi mpaka keja we took less than 10 minutes. Na sio ati si uishi karibu. Maskan iko kidogo farthest. Waulize Methu na Sue. Na vile ndae ilimea ma 7 speed Tiptronic Gearbox na ma Electronic Stability Control na ma Automatic Electronic Independent Brake Force Distribution System (ngoja kwanza nikai-copyright hiyo jina. Sidhani bado hai-exist) mpaka saa hizi ata mi sijui. Kuisorora the next day ndae ilikua inanichekelea dezine za “kijanaa umezoea kunipima!”
Kuingia bed na vile nilikua mawuoiiiyes nakashikwa na kisunzi, yaani head ilikua inaspin videadly mpaka nikashtuka nimeji-teleport mpaka dimension ingine mpaka hiyo race ya Australian Grand Prix, tena kwa podium nikipewa trophy yangu ile soo vile nilikua nimewanyorosha akina Schumacher na Bunson Jetton (Jenson Button-huyo mse wa Honda) Kidogo mongolio ikaanza kuwika na ile ringtone ya national anthem. Kuicheki nikaona namba 0722 000001 nikajua huyo ni Rais Obako ananishtu? Ananishtua. “Kijana reo naona umeacha kuedeesha kama mavi ya kuku. Maambo ya kuregareega pia umeaacha. Umefaanya kaaaazi mzuri saana. Kuuja State House nikurausheEE na White Cap biiri.” Ati Obako ameni-show ni come Jamhuri kwa Official State Welcome befitting of the World Champion that I am? Mpaka akani-sendia Kenya One (presidential jet) iniokote kutoka ng’ambo hadi mtaani. Mi ni nani nikatae hio offer?
BOSS!! Kufika JKIA nikapata umati wa ma-dame wakitingisha ma-flag za Jamhuri wakiwika “MWANAMISHALEEEEEEEEEEEEE!” na ma bra na ma ngotha tu ndio nilikuwa natupiwa ka zamani ma-fans wa Michael Jackson walikuwa waki-do, sijui wengine washaanza ku-faint na kuingia ma-frenzy kiwazimu wakicheki hii sura ya huu chali mocha khandisome namba one, picha yanje waweke kwa kharpam (album)
Enyewe wasee mkienda kuwasha mjue tu MAWUOIIIYES BALAA!!! Wacheni kujidai mashujaa.
(Methu na Bantuts, ka hii post sio number one, basi rasima mko na wazimu!!)
March 21, 2007 at 10:22 am
Fao! Wacha sasa nikaikague ii ninii vi-poa. Heehehe! Nani kaa Mzee Methu?
March 21, 2007 at 10:32 am
Aaaaah Wacha wewe!! Hihihi!! Mwanamishale umejimudu eh?
March 21, 2007 at 10:35 am
Testing…
March 21, 2007 at 10:42 am
Hooo!! Hehehh!! Dorcas: “Po-Rissss!!”
Eish mwana mishale ume tudunga kweli kweli!! Yani fully fledged phost Si stori ya paragraph…Noma daddi…Lakini ngoja review…
Io risto imestaaaand kaa Baba Johnnie afta kuscope uyo Dinki…
Ati Bonyezaflex Operating System V7.1.!!
“I Don’t do weed!!” C’mooon!! Hihihihi!! Nomarest yumbus…mapropu kibao kaa Diago za mGanda!!
wacha niingojee review. Na kaa siko namba 1 tutaonana!
March 21, 2007 at 11:37 am
Hii post ulichorewa!! Hakuna venye unaweza unleash post kali, moto na ya kishua hivi. Show mwenye alichora nimewai 95%….mapropu (kwa beste yako).
Hii risto imenikwachu videadly.
“My Life At The Door!” Yaani hananga ma career ambitions?….lol. Huyo mzeya ataMETHUkia hapo kwa hiyo mlango yani.
Archer umejaribu…..Kiwango ya Bants yani….ama ni Bants aliandika.
March 21, 2007 at 11:42 am
Maze ni ndefu alafu hilarious ndio nimepitwa na hawa hapa juu nikimaso. bado sijamada. narudi.
March 21, 2007 at 11:54 am
#5 aki..
Sishangai ati pool mlitolewa marangi mkiwa maji, ata mkiwa sober mi nawatoa mbaiya!!
Apo umenishika mbaiya… i kitu imedu karibu nichujwe jobbo..
Ati laptop inatumia BonyezaFlex o.s.
Alafu iyo defination yako ya uyo manzi wa Qs imenibamba mbaiya.. Ati mapaja healthy kaa za mkambodia…
Alafu Aizoh with my life at the Door ndo the mother…
Iyo diago ya kuenter Arsenal eeh.. na mi pia, for free uache MAn!! Saa tutakosana..
Enyewe wee ndio ulikua target ya hiyo diago!!
March 21, 2007 at 12:44 pm
Eh, eh… *Pythagoras Hypotenuse anarudi kashimo kake kufanya hesabu vile wasanii halisi wa kikwetu wamebamba!*
Umechapa videadly hapa kwa kweli!
March 21, 2007 at 12:45 pm
Eh, eh… *Pythagoras Hypotenuse anarudi kashimo kake kufanya hesabu vile wasanii halisi wa kikwetu wamebamb!*
Umechapa videadly hapa kwa kweli!
March 21, 2007 at 1:37 pm
Hiyo convo yako na orezo imenibamba. Hii pos nakugei ki ninety hivi. (ndio nawewe unigei marks poa coz post ishaiva).
March 21, 2007 at 3:17 pm
Umekonka dadi, I must truly say imeiva, na imenibamba.
Ati ‘colourless ka trophy cabinet ya Arsenal?’ Hapo ni kweli – Still ROTFLMAO
March 21, 2007 at 4:11 pm
yawa this bantuts lazima tumtie zi bana!…yeye ni kama kirusi..yaani virusi singula jo. ameinfect blogusphere na maryhmes na mi sinyiti, si-get, si-comprehend
March 21, 2007 at 4:17 pm
…zi!! dooo!! manze ebu mfight hii system…nimekuja kuwashika! agiasi na bantuts waishie…waende kwao
March 21, 2007 at 5:43 pm
wah!post ni looong!wacha niimalize kwanza…i’ll be back!
March 21, 2007 at 6:48 pm
iii post imenichekesha vinoma…you put alot of thought into it. And am sure you made friends with some sheng speaker somewhere. There is now way you could write such, apana nimekataa kata kata
tupunguze fobe mzee…tha was a busy nite archer aka shum-archer..
March 21, 2007 at 8:59 pm
[...] are unleashing Kikwetu posts one by one, each one a work of art!. Ma-Shaddie, Mose, TsU, Izo and Mwana Mshale are the latest Hall of Famers. Nice work guys, now if only i can get you to take up the challenge [...]
March 22, 2007 at 6:12 am
Yaani kama nitakuwa nikiishia siku mbe nacome ku-get stori kaa hizi…he he he…Hii post yako nakuwai…eh, 79%. Kaa vile niliandika insha jo badala ya 99 nikapewa 79 ati juu nili-dub…Hata wewe nadhani umedub…toboa, mzeiya, toboa…ndio tu-do ‘dues to the right person’…
March 22, 2007 at 8:00 am
I cant read any comments from u Archer and I cant access Bomseh’s latest post.
Nini inaendelea na WP? ama ni hii mkebe yangu?
March 22, 2007 at 8:43 am
@ UNYC http://bomseh.wordpress.com
Badilisha hiyo mkebe. WP iko poa. Just confirm URL when u click on the links.
March 23, 2007 at 12:25 pm
Hi ni noma!!! Ati “nigga puh-leaze!” na usha anza kurusha ma mistari kalikali za ka-moja tu! LOL
March 23, 2007 at 5:28 pm
no romance without fi? finance ROTFLMAO….
March 24, 2007 at 10:41 am
I Loved this so muuuuch! Am still RONFL! Ati miguu Miguu amestunya ka mluhya, mapaja healthy ka za mkamba, haga bwaku ka za mganda——- LOL!!
March 24, 2007 at 4:56 pm
Maze dadii hii drama imenibamba jo, kaa 24! Heheheh Khaandi…heheheh!Ii niniii ni tight! Shukran Mwanamishale.
March 25, 2007 at 6:59 pm
Aih i see ubantu**by ubantu i mean bantus sheng fever** imeshika kilamtu bantu i need to see you kando yani you have been giving other people lessons better than me, how come bado mimi niko basic eh how come?
March 26, 2007 at 6:32 am
finally i cn read!!! mkebe yangu imepata adabu….wacha nicheki ya bomseh
March 26, 2007 at 7:22 pm
Schum-archer sahii ndio nimeona ‘futsubishi’ lol
April 5, 2007 at 2:38 pm
hope u had ur roro chow!! lol…ur addiction to that place has me wondering bout u….
May 11, 2009 at 9:32 pm
[...] Mawuoiiiiiyes Balaa! – My first and last ever Sheng post. [...]
May 12, 2009 at 9:13 am
Haiya!!